Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau hamjamboni nyote?
Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya Jumatano na baadaye alifariki, jeshi limetangaza.
Mwanajeshi huyo alipewa matibabu papo hapo na wahudumu wa afya katika eneo hilo, lakini alitangazwa kufariki hospitalini baada ya juhudi za CPR kufanyika. Familia yake imejulishwa.
Baada ya uchunguzi kukamilika, matokeo yatapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Jeshi kwa mapitio.
UNIT 504 KWA UFUPI:
Unit 504 ni moja ya vitengo vya kijasusi vya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), inayohusika na operesheni za siri, kukusanya taarifa za kiintelijensia (HUMINT), kupambana na ujasusi, na tathmini za kijeshi.
Wanapewa mafunzo ya CQB/CQC kwa ajili ya kujihami katika hali za dharura.
Kitengo hiki, sawa na Mossad, hufanya operesheni za siri nje ya mipaka ya Israel, hukusanya taarifa za kiintelijensia za kijeshi na kushiriki katika oparesheni maalum.
Pia kinahusika na kuwahoji wafungwa wa IDF, wakiwemo wafungwa wa vita na wapiganaji haramu, na kinaendesha vituo vya siri kama Camp 1391.
Unit 504 ilianzishwa mwaka 1948 pamoja na IDF na imehusika katika vita vyote vya Israel. Awali, ilijulikana kama "Modi’in 10" kabla ya kubadilishwa jina mara kadhaa hadi kufikia jina lake la sasa baada ya Vita ya Yom Kippur.
Mwaka 2019, kikosi hiki kilihusika katika mauaji ya kiongozi wa Islamic Jihad, Baha Abu al-Ata.
Mnamo Novemba 2023, kitengo hiki kilitangaza kuwa tayari kimewahoji Wapalestina 500 kufuatia vita vya Gaza.
Unit 504 pia ilishiriki katika uvamizi wa Batroun mnamo Novemba 2024.
==================================================
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.
IDF Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, 19, from Jerusalem, collapsed during combat training with Unit 504 in northern Israel on Wednesday and later died, the military announced.
The soldier was immediately treated by medical personnel in the field and was pronounced dead at a hospital after CPR was performed. His family has been notified.

At the conclusion of the investigation, the findings will be forwarded to the military attorney general for review.
Source: Times Of Israel