Mwanajeshi wa IDF adondoka na kufariki ghafla akiwa kwenye mafunzo

Wadau hamjamboni nyote?

Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya Jumatano na baadaye alifariki, jeshi limetangaza.

Mwanajeshi huyo alipewa matibabu papo hapo na wahudumu wa afya katika eneo hilo, lakini alitangazwa kufariki hospitalini baada ya juhudi za CPR kufanyika. Familia yake imejulishwa.

Baada ya uchunguzi kukamilika, matokeo yatapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Jeshi kwa mapitio.

UNIT 504 KWA UFUPI:

Unit 504 ni moja ya vitengo vya kijasusi vya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), inayohusika na operesheni za siri, kukusanya taarifa za kiintelijensia (HUMINT), kupambana na ujasusi, na tathmini za kijeshi.

Wanapewa mafunzo ya CQB/CQC kwa ajili ya kujihami katika hali za dharura.

Kitengo hiki, sawa na Mossad, hufanya operesheni za siri nje ya mipaka ya Israel, hukusanya taarifa za kiintelijensia za kijeshi na kushiriki katika oparesheni maalum.

Pia kinahusika na kuwahoji wafungwa wa IDF, wakiwemo wafungwa wa vita na wapiganaji haramu, na kinaendesha vituo vya siri kama Camp 1391.

Unit 504 ilianzishwa mwaka 1948 pamoja na IDF na imehusika katika vita vyote vya Israel. Awali, ilijulikana kama "Modi’in 10" kabla ya kubadilishwa jina mara kadhaa hadi kufikia jina lake la sasa baada ya Vita ya Yom Kippur.

Mwaka 2019, kikosi hiki kilihusika katika mauaji ya kiongozi wa Islamic Jihad, Baha Abu al-Ata.

Mnamo Novemba 2023, kitengo hiki kilitangaza kuwa tayari kimewahoji Wapalestina 500 kufuatia vita vya Gaza.

Unit 504 pia ilishiriki katika uvamizi wa Batroun mnamo Novemba 2024.

==================================================
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.

IDF Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, 19, from Jerusalem, collapsed during combat training with Unit 504 in northern Israel on Wednesday and later died, the military announced.

The soldier was immediately treated by medical personnel in the field and was pronounced dead at a hospital after CPR was performed. His family has been notified.

At the conclusion of the investigation, the findings will be forwarded to the military attorney general for review.

Source: Times Of Israel

Na badoo, mashetani wakubwa hao yaliyolaaniwa, haya wayahudi weusi muende mkatoe pole kwa ndugu yenu, na ajiandae na maswali kafiri mmoja huyo
 
Wavaa kobazi mnahangaika sana
 
Heri wangedondoka na kufa wote kwa namna wanavyowaonea wenzao japo mambo ya ngoswe tumuachie mwenyewe.
 
Si unatumia pumzi ya Mwenyezi Mungu, aliekuumba, na ndie alietuletea Uislamu ndio dini ya kuifuata. Sasa endelea na kibri chako, ila ukumbuke umauti ukikufika utaongea vizuri
Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana nyie ndiyo maana Israel haiwacheleweshi kuwapa kipigo??
 
Ndicho mnachowaza, ili uingie peponi ni lazima ufanye juhudi haswaa na ukiwa MUISLAM, tofauti na uislamu ni jahannam tu.
Kuua watu ndiyo uislamu? Kama walivyofanya Oct 07,2023? Kama ndiyo basi bora mpagani anayemuogopa Mungu kuliko uislamu unaoua watu na kutembea na maiti za watu kama wanavyofanya Hamas huko Gaza!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya Jumatano na baadaye alifariki, jeshi limetangaza.

Mwanajeshi huyo alipewa matibabu papo hapo na wahudumu wa afya katika eneo hilo, lakini alitangazwa kufariki hospitalini baada ya juhudi za CPR kufanyika. Familia yake imejulishwa.

Baada ya uchunguzi kukamilika, matokeo yatapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Jeshi kwa mapitio.

UNIT 504 KWA UFUPI:

Unit 504 ni moja ya vitengo vya kijasusi vya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), inayohusika na operesheni za siri, kukusanya taarifa za kiintelijensia (HUMINT), kupambana na ujasusi, na tathmini za kijeshi.

Wanapewa mafunzo ya CQB/CQC kwa ajili ya kujihami katika hali za dharura.

Kitengo hiki, sawa na Mossad, hufanya operesheni za siri nje ya mipaka ya Israel, hukusanya taarifa za kiintelijensia za kijeshi na kushiriki katika oparesheni maalum.

Pia kinahusika na kuwahoji wafungwa wa IDF, wakiwemo wafungwa wa vita na wapiganaji haramu, na kinaendesha vituo vya siri kama Camp 1391.

Unit 504 ilianzishwa mwaka 1948 pamoja na IDF na imehusika katika vita vyote vya Israel. Awali, ilijulikana kama "Modi’in 10" kabla ya kubadilishwa jina mara kadhaa hadi kufikia jina lake la sasa baada ya Vita ya Yom Kippur.

Mwaka 2019, kikosi hiki kilihusika katika mauaji ya kiongozi wa Islamic Jihad, Baha Abu al-Ata.

Mnamo Novemba 2023, kitengo hiki kilitangaza kuwa tayari kimewahoji Wapalestina 500 kufuatia vita vya Gaza.

Unit 504 pia ilishiriki katika uvamizi wa Batroun mnamo Novemba 2024.

==================================================
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.

IDF Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, 19, from Jerusalem, collapsed during combat training with Unit 504 in northern Israel on Wednesday and later died, the military announced.

The soldier was immediately treated by medical personnel in the field and was pronounced dead at a hospital after CPR was performed. His family has been notified.

The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.

At the conclusion of the investigation, the findings will be forwarded to the military attorney general for review.

Source: Times Of Israel
Crap kabisa hii

Wangapi wanakufa Huku kwetu africa

Tuache obsession na hawa zionists
 
Kwenye mazoezi ya kijeshi hasa ya kimapigano,kufa askari mmoja ni jambo la ufanisi mkubwa, mazoezi hayo yanahusisha silaha za moto kuruka kutoka kwenye majumba marefu,kupanda na hata kwenye magari yanaokwenda kasi isiyo kubwa. Kwa hali hiyo ni mafanikio, vingenevyo ungesika 40 bado wanaopata ulemavu.
 
Jibu swali, au unaandika umbeya. Uliwahi kuona mwanajeshi ana kadi ya chama chochote akiwa kwenye utumishi jeshini?
Nafikiri siwajibiki kukujibu swali lako.

Btw, nikikujibu tofauti na unavyoamini utakubali? Au ndo umeshajichangulia jibu na hutaki kinyume chake?

Ni vema basi kila mmoja abaki na anachokiamini/fahamu.
 
Back
Top Bottom