Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wewe habari hii umeipata wapi? Kifo cha askari mmoja nayo iwe habari? Tupe source ya hiyo habari yako??Wadau hamjamboni nyote?
Mungu ampatie pumziko la amani
IDF sergeant dies after collapsing during training
By JERUSALEM POST STAFF MARCH 26, 2025 10:16
Updated: MARCH 26, 2025 11:52
ILLUSTRATION: Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, aged 19, from Jerusalem. (photo credit: Canva, IDF)
ILLUSTRATION: Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, aged 19, from Jerusalem.
(photo credit: Canva, IDF)
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.
IDF Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, 19, from Jerusalem, collapsed during combat training with Unit 504 in northern Israel on Wednesday and later died, the military announced.
The soldier was immediately treated by medical personnel in the field and was pronounced dead at a hospital after CPR was performed. His family has been notified.
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.
Illustration
Illustration
At the conclusion of the investigation, the findings will be forwarded to the military attorney general for review.
Jerusalem PostWewe habari hii umeipata wapi? Kifo cha askari mmoja nayo iwe habari? Tupe source ya hiyo habari yako??
Turushie hapa tuione wote!!Jerusalem Post
Times of Israel
Kazi ya Netanyahu aina makosa!!!!Heart Attack: It's definite.
Sgt ana miaka 19? Huku kwetu heo hicho ana miaka 45 kuendeleaWadau hamjamboni nyote?
Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya Jumatano na baadaye alifariki, jeshi limetangaza.
Mwanajeshi huyo alipewa matibabu papo hapo na wahudumu wa afya katika eneo hilo, lakini alitangazwa kufariki hospitalini baada ya juhudi za CPR kufanyika. Familia yake imejulishwa.
Baada ya uchunguzi kukamilika, matokeo yatapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Jeshi kwa mapitio.
UNIT 504 KWA UFUPI:
Unit 504 ni moja ya vitengo vya kijasusi vya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), inayohusika na operesheni za siri, kukusanya taarifa za kiintelijensia (HUMINT), kupambana na ujasusi, na tathmini za kijeshi.
Wanapewa mafunzo ya CQB/CQC kwa ajili ya kujihami katika hali za dharura.
Kitengo hiki, sawa na Mossad, hufanya operesheni za siri nje ya mipaka ya Israel, hukusanya taarifa za kiintelijensia za kijeshi na kushiriki katika oparesheni maalum.
Pia kinahusika na kuwahoji wafungwa wa IDF, wakiwemo wafungwa wa vita na wapiganaji haramu, na kinaendesha vituo vya siri kama Camp 1391.
Unit 504 ilianzishwa mwaka 1948 pamoja na IDF na imehusika katika vita vyote vya Israel. Awali, ilijulikana kama "Modi’in 10" kabla ya kubadilishwa jina mara kadhaa hadi kufikia jina lake la sasa baada ya Vita ya Yom Kippur.
Mwaka 2019, kikosi hiki kilihusika katika mauaji ya kiongozi wa Islamic Jihad, Baha Abu al-Ata.
Mnamo Novemba 2023, kitengo hiki kilitangaza kuwa tayari kimewahoji Wapalestina 500 kufuatia vita vya Gaza.
Unit 504 pia ilishiriki katika uvamizi wa Batroun mnamo Novemba 2024.
==================================================
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.
IDF Sergeant Yosef Haim Tzvi Serlin, 19, from Jerusalem, collapsed during combat training with Unit 504 in northern Israel on Wednesday and later died, the military announced.
The soldier was immediately treated by medical personnel in the field and was pronounced dead at a hospital after CPR was performed. His family has been notified.
The military police have opened an investigation into the circumstances of the incident.
At the conclusion of the investigation, the findings will be forwarded to the military attorney general for review.
Source: Times Of Israel
wacha uvivu maskini weweTurushie hapa tuione wote!!
Ningekuwa Masikinii usingekuwa Dem wangu!!wacha uvivu maskini wewe
Parochial mind.Kazi ya Netanyahu aina makosa!!!!
Oct 07,2023 Naona ulikuwa bado mdogo ndiyo huwezi kujua kulitokea nini!!Inasikitisha sana kijana mwenye umri bado mdogo anapata cardiac arrest kwenye mazoezi ya kujiandaa kupigana vita vya kijinga vilivyotengenezwa kwa uongo mwingi, dah apumzike kwa amani.
May 14, 1948.Najua ulikua bado hujazaliwa, na hata baada ya kuzaliwa umebakia kuwa mtoto daima. Kwa sababu ulipata delayed puberty, kwakua sio kosa lako. Basi endelea kufurahia utoto wako.Oct 07,2023 Naona ulikuwa bado mdogo ndiyo huwezi kujua kulitokea nini!!
Ukimtazama jamaa siyo wa mashariki ya Kati kabisa(semitic/canaanite),ni ukraine, polandHii wala siyo habari. Mafunzo makali ya Navy Seal Six na vikosi vingine ngangari wanafunzi kukata moto ni jambo la kawaida tu. Hata hii kujifanya wanafanya uchunguzi ni formality tu lakini wanajua mafunzo ndo yamenoga sasa.
Hata sisi hawa jamaa ambao huwa wanabeba magogo na kupasuliwa mawe na matofali vifuani kwenye baadhi ya sherehe zetu huwa wakati mwingine wanakata moto wakiwa mafunzoni huko.
Plus kadi la sisiem! 'Hovyo' kabisaSgt ana miaka 19? Huku kwetu heo hicho ana miaka 45 kuendelea