Mwanajeshi wa Israel aliyeshiriki kuua halaiki huko Gaza ajiua kutokana na msongo wa mawazo

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).

Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa mabavu.

Tukio hili limetokea hivi karibuni huku akiacha ujumbe uliosema:

“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”

20250706_201307.jpg
 
View attachment 3396586
Ameuwa watoto,wanawake,wazee,na wengine wasio na hatia,roho za aliowauwa zinamtesa
 
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).

Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa mabavu.

Tukio hili limetokea hivi karibuni huku akiacha ujumbe uliosema:

“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”

View attachment 3396586
Roho za aliowauwa zinamlilia,na kushtaki kwa Mungu
 
Israel hakuna raia mwema wote majambazi, vijana wa miaka 18 wanaua watu.
 
“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”
Mbona ameeleza vizuri sababu ya uamuzi aliouchukua? Ni kwa sababu ya harufu mbaya ya maiti. Yuko sahihi 100%.
 
Damu ya binadamu haiwezi ikapita hivihivi pasipo kulipiwa kisasi,hata wale wanaowateka watu na kuwaua iposiku watajining'iza kama Yuda sikarioti msaliti wa Bwana Yesu.
 
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).

Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa mabavu.

Tukio hili limetokea hivi karibuni huku akiacha ujumbe uliosema:

“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”

View attachment 3396586
amepata alichostahili akahangaike na moto wa mungu sasa
 
Back
Top Bottom