The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Ameuwa watoto,wanawake,wazee,na wengine wasio na hatia,roho za aliowauwa zinamtesaMwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).
Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa mabavu.
Tukio hili limetokea hivi karibuni huku akiacha ujumbe uliosema:
“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”
View attachment 3396586
Roho za aliowauwa zinamlilia,na kushtaki kwa MunguMwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).
Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa mabavu.
Tukio hili limetokea hivi karibuni huku akiacha ujumbe uliosema:
“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”
View attachment 3396586
Mbona ameeleza vizuri sababu ya uamuzi aliouchukua? Ni kwa sababu ya harufu mbaya ya maiti. Yuko sahihi 100%.“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”
amepata alichostahili akahangaike na moto wa mungu sasaMwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).
Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa mabavu.
Tukio hili limetokea hivi karibuni huku akiacha ujumbe uliosema:
“Ninapata harufu ya maiti nyingi mno, siwezi kuvumilia tena.”
View attachment 3396586
Damu ya binadamu si ya kuku.Kumbe huwa inawarudia?..