Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

Unazijua sababu za yeye kufanya hivyo??
Ikiwa Jeshi ndilo limemfanya yeye aamue hivyo utafanyaje??
Hata kama! Huwezi kuvujisha taarifa nyeti ambazo zitakuwa na matokeo mabaya kwa mustakabali wa taifa lako. Sijui vijana wamekuwa na akili za namna gani aisee! Kumbe ni ulimwengu mzima tu vijana wana akili za hovyo sana!
 
Moja ya jambo tunalojivunia JF ni kuwa na wataalam kila nyanja kama hivi unavyotuhabarisha mkuu, nani alikuwa anajua bei halisi ya kuuza siri za jeshi!
Mmh...! What do u mean?. Umeanza kunijaza upepo...! Nilichomaanisha unafanyeje kitu kikubwa chenye hatari hivyo kwa pesa mbuzi hivyo?. Sasa wewe umeanza kutengeneza kitu cha kwako.
. Watanzania siku hizi haipo kabisa ile hali ya kupendana kujaliana kama zamani. Siku hizi watu mna roho mbaya sana. Utapata faida gani ukichochea mimi nipate matatizo?.
 
Hakuna matatizo mkuu hapo tunazungumzia mambo worldwide, na pengine taarifa zipo mitandaoni.
 
Nyonga yeye
 
Mbona hela ndogo sana kibongobongo
Wazungu ni nywele tu kichwani mwao lakini mifukoni mwao wengi wao wapo tu kama sisi wabongo. Unaiuzaje nchi kwa milioni 113.3 fedha za kibongo???!
 
Raia wa hiyo nchi ni pasua kichwa
 
Raia wa hiyo nchi ni pasua kichwa
Umasikini ni kitu kibaya sana. Kataa umaskini kwa nguvu zako zote, kwa akili yako yote na kwa moyo wako wote. Umaskini ;Tupakulee (kwa sauti ya juu kubwa kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…