Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

Kivipi yani jeshi ndio liwe limemfanya afanye hivyo? Yani jeshi limemtuma kuvujisha siri nyeti kama hizo?
Hahahahaha. Nadhani anamaanisha wachina wanaona wauziwa siri kumbe,jamaa hizo siri kapewa ili na yeye apate SIRI za wachina ..means kuna Siri za China pia anazo
 
Ingekuwa nchi za kidikteta kama Urusi, China au Korea Kaskazini na za kiarabu wangeshamuua wala mahakamani hawampeleki au wakimpeleka hana meno na masikio hana.
 
Lakini sidhani kama inaukweli hii, can you prove it?
Ushawai ona mwanajeshi anahukumiwa mahakamani? Mwanajeshi akipata ajar MP (millitary police) lazima aende kushuhudia hiyo sehemu na kama mwanajeshi anakosa basi kabla jamuhuri haijamshtaki anakuwa anashtakiwa kijeshi na hatalala mahabusu MP section
 
Mbona hela ndogo sana?. Hizo siri,tena za kijeshi na usalama,zinauzwa kuanzia bilioni 20,20+ huko. Kama alifanya hivyo kweli ni kichaa,tena mse*** tu
Kama Jeshi lilikuwa halimtendei haki, basi hata bure angeweza kutoa hizo taarifa bila kudai malipo yoyote yale.
Haki ni kitu Cha muhimu sana hapa duniani Cha kuweza kudumisha uzalendo na amani ya kudumu. Kitendo chochote kile kinachohujumu haki ya mtu kinaweza kusababisha kuhujumiwa kwa usalama wa nchi.

NOTE:-
Haki huleta Amani & Uzalendo, na Dhuluma husababisha Maangamizi.
Ww unaweza kukataa billion 20 kutoa taarifa kwenye flash hata gb 32 hazijai
It depends.
 
kwani mnadhani wanapewaga hela mingi
niliulizia wakati flan jamaa wanaotolewa sehem za kaskazini mwa PRC kupiganishwa vita Ukraine wanalipwa si zaidi ya 6M kwa mwez
 
Kwa cheo chake ni mshahara wake tu kwa mwezi kama niko sahihi. Au kuna motive ingine nyuma yake labda, au hyo pesa alkua analipwaje maybe?
 
Back
Top Bottom