Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hizi ni mbinu za kivita, usichojua hata sisi Tz tunao askari wapo Mozambique. Wapo askari wa TPDF, Polisi, Magereza na Usalama.

Wote wanavaa combat ya TPDF, lakini pia katika baadhi ya vikosi ya msumbiji tunao askari wetu kwa missions hizi hizi za ujasusi na usalama, huyo tu askari wa Rwanda cover yake imekuwa blown perhaps amechomeshwa au he was not keeping a low profile
 
Hao magereza wameanza lini kwenda misheni?
 
Duu,
Basi kama ulikuwa hujui ndo ujue, wapo OP mbalimbali za ndani na nje ya nchi
Hahah! Usianze mambo ya kwamba kama nilkuwa sijui ndo nijue.

Nimekuuliza wameanza kwenda lini misheni?

Nakumbuka mara ya mwisho walikuwa wanaomba na wao wawe wanaenda misheni kama polisi na ni kipindi Magufuli tu hapo!

Sasa ndo nakuuliza wameanza kwenda misheni lini?
 
Tusitoe code, elewa basi wapo, wapo Mamba wapo Koboko
 
Hizi ni mbinu za kivita, usichojua hata sisi Tz tunao askari wapo Mozambique. Wapo askari wa TPDF, Polisi, Magereza na Usalama.

Wote wanavaa combat ya TPDF, lakini pia katika baadhi ya vikosi ya msumbiji tunao askari wetu kwa missions hizi hizi za ujasusi na usalama, huyo tu askari wa Rwanda cover yake imekuwa blown perhaps amechomeshwa au he was not keeping a low profile

Acha uongo. Wakafanye operesheni gani wakati hapa kwao watu wasiojulikana wamewashinda.
 
Back
Top Bottom