Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwahiyo walikuwa wanataka kuangalia pua?😁na kumzonga wakitaka avue mask
Hao magereza wameanza lini kwenda misheni?Hizi ni mbinu za kivita, usichojua hata sisi Tz tunao askari wapo Mozambique. Wapo askari wa TPDF, Polisi, Magereza na Usalama.
Wote wanavaa combat ya TPDF, lakini pia katika baadhi ya vikosi ya msumbiji tunao askari wetu kwa missions hizi hizi za ujasusi na usalama, huyo tu askari wa Rwanda cover yake imekuwa blown perhaps amechomeshwa au he was not keeping a low profile
Kweni bado wana chale usoni?😆Wamakonde wanajuana..
Mkuu ulitaka wawe wanakupa taarifa ?Hao magereza wameanza lini kwenda misheni?
Wamakonde wanajuana..
Duu,Hao magereza wameanza lini kwenda misheni?
Imebidi awe mpole maana huko msumbiji hali si hali upolisi umegeuka kaa la motoDah polisi wanamchezea hivyo? Chadema wanaweza hata kumsogelea wa Tanzania? Dah kweli kila mmoja ameumbwa na tabia zake.
Ndo nimemuuliza wameanza kwenda lini?Mkuu ulitaka wawe wanakupa taarifa ?
Hahah! Usianze mambo ya kwamba kama nilkuwa sijui ndo nijue.Duu,
Basi kama ulikuwa hujui ndo ujue, wapo OP mbalimbali za ndani na nje ya nchi
Tusitoe code, elewa basi wapo, wapo Mamba wapo KobokoHahah! Usianze mambo ya kwamba kama nilkuwa sijui ndo nijue.
Nimekuuliza wameanza kwenda lini misheni?
Nakumbuka mara ya mwisho walikuwa wanaomba na wao wawe wanaenda misheni kama polisi na ni kipindi Magufuli tu hapo!
Sasa ndo nakuuliza wameanza kwenda misheni lini?
Hizi ni mbinu za kivita, usichojua hata sisi Tz tunao askari wapo Mozambique. Wapo askari wa TPDF, Polisi, Magereza na Usalama.
Wote wanavaa combat ya TPDF, lakini pia katika baadhi ya vikosi ya msumbiji tunao askari wetu kwa missions hizi hizi za ujasusi na usalama, huyo tu askari wa Rwanda cover yake imekuwa blown perhaps amechomeshwa au he was not keeping a low profile
Duu,
Basi kama ulikuwa hujui ndo ujue, wapo OP mbalimbali za ndani na nje ya nchi
Ukweli ni upi we popomaAcha uongo.
Ngoja nkunyamazieTusitoe code, elewa basi wapo, wapo Mamba wapo Koboko
na sisi tunaelekea hukoImebidi awe
Imebidi awe mpole maana huko msumbiji hali si hali upolisi umegeuka kaa la moto