MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Sikuzote mie ni no 1 fan wa @Nguruvi3 ....popote ninapoona mchango wake nitausoma.....yaani uzi akichangia nitafatilia koment zake tu

Bila kumsahau @joka kuu

Kuna @The Boss .... always yupo very calm...na nahisi ana jicho la pekee kwenye coment.... (except sehemu moja tu, akichangia kuhusu hilo calmness yake huisha)

@ )Preta .... mchango wake lazima niusome na aniache nikismile

@Evelyn Salt ....ana unique way ya kufikisha ujumbe....utafurahi tu

@Kaboom na @Paulo Sergio De Souz. ...... nisipowaona nawamiss ghalfa......

@KikulachoChako..... always serious loh

@Heaven on Earth...hata kama mada ni chai atatoa ushauri wa maana

Hivi @nyumbakubwa yupo????

@Watu8 ..... @atoto...

Na wale wapenda ubuyu wenzangu wa jukwaa la celebrity wakiongozwa na @warumi na @Madam B

Na wengine weeeengiiiii siwezi kuwataja wote

@Asprin my hazbend...halafu nimemmisi huyu ppsti zake lazima ushike mbavu
 
@BADILI TABIA nashukuru mama, nafurahia uwepo wako jf, yaani @Evelyn Salt ananifurahishaga yule dada, maneno machache ila ujumbe mzitoo na lazima ucheke tu.
 
Sikuzote mie ni no 1 fan wa @Nguruvi3 ....popote ninapoona mchango wake nitausoma.....yaani uzi akichangia nitafatilia koment zake tu

Bila kumsahau @joka kuu

Kuna @The Boss .... always yupo very calm...na nahisi ana jicho la pekee kwenye coment.... (except sehemu moja tu, akichangia kuhusu hilo calmness yake huisha)

@ )Preta .... mchango wake lazima niusome na aniache nikismile

@Evelyn Salt ....ana unique way ya kufikisha ujumbe....utafurahi tu

@Kaboom na @Paulo Sergio De Souz. ...... nisipowaona nawamiss ghalfa......

@KikulachoChako..... always serious loh

@Heaven on Earth...hata kama mada ni chai atatoa ushauri wa maana

Hivi @nyumbakubwa yupo????

@Watu8 ..... @atoto...

Na wale wapenda ubuyu wenzangu wa jukwaa la celebrity wakiongozwa na @warumi na @Madam B

Na wengine weeeengiiiii siwezi kuwataja wote

@Asprin my hazbend...halafu nimemmisi huyu ppsti zake lazima ushike mbavu
Kwakuwa umenitaja wa mwisho... naliombea mabaya kojoleo lako. Likose huduma zote za kutoka na kuingia mpaka utakaponitaka razi...

Baada ya kusema hayo napenda kukuarifu kuwa osigelo yuko njiani kwenda kuniletea kalamu na karatasi. Nimekoma kuwa na mke asiye kuwa le profeseri na wala hamiliki le pihechidii.... Nilikupenda sana ila talaka imekupenda zaidi.

Tutaonana kitandani.
 
Mi unanivutia lakini sikupendi kwakuwa unakojoa kitandani.

Heri ya mwaka mpya mke wangu ajaye

Hahahaaaaa! Babu bwana, nitafutie dawa niache kukojoa kitandani, khaaa yaani babu na uzee wote huo unataka kuniwowa!! Ujana ulikula na nani?
 
Hahahahahahahahahsh

Kwakuwa umenitaja wa mwisho... naliombea mabaya kojoleo lako. Likose huduma zote za kutoka na kuingia mpaka utakaponitaka razi...

Baada ya kusema hayo napenda kukuarifu kuwa osigelo yuko njiani kwenda kuniletea kalamu na karatasi. Nimekoma kuwa na mke asiye kuwa le profeseri na wala hamiliki le pihechidii.... Nilikupenda sana ila talaka imekupenda zaidi.

Tutaonana kitandani.

Tukionana kitandani sahau talaka loh....
 
Nimevutiwa na wanajf wote kwa mijadala mbalimbali ambayo ukiifanyia kazi lazima utabadilika,unapata ushauri mbalimbali kuhusu,biashara,elimu,mapenzi,dini,siasa na maisha kwa ujumla,hongereni wote tuliofanikiwa kuuona mwaka mpya 2016,Jf idumu milele.
 
Hahahaaaaa! Babu bwana, nitafutie dawa niache kukojoa kitandani, khaaa yaani babu na uzee wote huo unataka kuniwowa!! Ujana ulikula na nani?
Usikubali huyu mwanaume akudanganye...

Ujana wake ale na mimi uzee aumalizie kwako
 
Basi ukome kumwonea wivu Jacline Ntuyabaliwe.

Na kwakuwa umeniuzi nakuombea uolewe na limjamaa lenye gegedo kama mpini wa shoka.... kila mnapomaliza kufanya baioloji uelekee toilet kupumulia chini.

Amina
 
Hahahaaaaa! Babu haya maombi yako ya siku hizi siyasomi kabisa!! Yaani kuacha kumuonea wivu k.lyn hataa sitoacha aisee, ile ni dodo chini ya mnazi lazima wivu uwepo, teh teh teh teeeeh!!!
 
Usikubali huyu mwanaume akudanganye...

Ujana wake ale na mimi uzee aumalizie kwako
Unaona sasa?

Tangu juzi unanilisha makande.... ubwabwa umeibuka unajifanya pilau. We mwanamke wewe... ndo maana umefanana na mama yako.
 
Hahahaaaaa! Babu haya maombi yako ya siku hizi siyasomi kabisa!! Yaani kuacha kumuonea wivu k.lyn hataa sitoacha aisee, ile ni dodo chini ya mnazi lazima wivu uwepo, teh teh teh teeeeh!!!
Sasa kwanini unaipigia bahati yako penalt? Hutaki kumiliki vitz?
 
Back
Top Bottom