MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Namkumbuka sana chief mkwawa kwa upande wa utaalamu wa simu,shukrani nyingi zimfikie popote alipo @CHIEF MKWAWA
Chief mkwawa amekuwa msaada kwangu hasa nilipokuwa nikiuliza maswali kwenye jukwaa la Technology, anaelekeza vizuri sana. Ufanikiwe sana mwaka huu
 
Chief mkwawa amekuwa msaada kwangu hasa nilipokuwa nikiuliza maswali kwenye jukwaa la Technology, anaelekeza vizuri sana. Ufanikiwe sana mwaka huu
Kweli kabisa jamaa yupo vizuri sana
 
kwakweli ni wengi sana kwenye majukwaa tofauti. JF raha sana.
pamoja na hayo, kipekee kabisa niwataje GTs kama @makirita(makala ndefu zenye mafunzo yaliyotukuka) @ mshana jr(huyu jamaa ana Phd kwa story za kichawi. asante ulinifunza mengi. ulifanya vizuri kule jf photos) @Mzee tupa tupa wa lumumba,bibie @Evelyn Salt @miss chagga (hawa wawili kule MMU walikua vizuri) @nifah @Mchambuzi @Nguruvi3 @
MosDes @Heaven Sent @Lizaboni @Mmawia @
MOTOCHINI @Ben Saanane
@MUSSA ALLAN @Pasco(huyu jamaa nahisi ni ukawa aliyetukuka) @
Watu8 @Watu @Heaven
on Earth na @Katavi @Rungu @moshi vijijini na wengine wengi.
nawatakia heri ya mwaka mpya 2016 nyote
Aksante sana @nkuru pia nami nikutakie heri Na fanaka mwaka 2016
 

Attachments

  • 1451646166261.jpg
    1451646166261.jpg
    46 KB · Views: 19
Back
Top Bottom