Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu huyu falcom mombasa yuko wapi? @ falcom mombasaFalcon mombasa ,nifah na mshana jr..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyu falcom mombasa yuko wapi? @ falcom mombasaFalcon mombasa ,nifah na mshana jr..
Mkuu jela ya kulala saa 9 au jela ya jf?Ahsanta.
Lkn @ishmel yuko Jela mwaka huu.
Mwaka mpya kualia nyuma ya Nondo.
Mshukuruni lubuvaTuliwadhibiti vilivyo
yericko nimwehu!!hahaha du,Bila kumsahau mzee wa controversials, @kahtaan na mwenzake wa upande wa pili @Ishmael.
Pia @Mr Chin na @ Ocampo Four, bila kumsahau yule mwehu @Yericko Nyerere.
Chief mkwawa amekuwa msaada kwangu hasa nilipokuwa nikiuliza maswali kwenye jukwaa la Technology, anaelekeza vizuri sana. Ufanikiwe sana mwaka huuNamkumbuka sana chief mkwawa kwa upande wa utaalamu wa simu,shukrani nyingi zimfikie popote alipo @CHIEF MKWAWA
Kweli kabisa jamaa yupo vizuri sanaChief mkwawa amekuwa msaada kwangu hasa nilipokuwa nikiuliza maswali kwenye jukwaa la Technology, anaelekeza vizuri sana. Ufanikiwe sana mwaka huu
Aksante sana @nkuru pia nami nikutakie heri Na fanaka mwaka 2016kwakweli ni wengi sana kwenye majukwaa tofauti. JF raha sana.
pamoja na hayo, kipekee kabisa niwataje GTs kama @makirita(makala ndefu zenye mafunzo yaliyotukuka) @ mshana jr(huyu jamaa ana Phd kwa story za kichawi. asante ulinifunza mengi. ulifanya vizuri kule jf photos) @Mzee tupa tupa wa lumumba,bibie @Evelyn Salt @miss chagga (hawa wawili kule MMU walikua vizuri) @nifah @Mchambuzi @Nguruvi3 @
MosDes @Heaven Sent @Lizaboni @Mmawia @
MOTOCHINI @Ben Saanane
@MUSSA ALLAN @Pasco(huyu jamaa nahisi ni ukawa aliyetukuka) @
Watu8 @Watu @Heaven
on Earth na @Katavi @Rungu @moshi vijijini na wengine wengi.
nawatakia heri ya mwaka mpya 2016 nyote
Bado upo ndotoni tuLowasa ndiye rais kipenzi cha kweli kwa watanzania hao wengine ni maigizo tu
Lowasa rais wanguBado upo ndotoni tu
Yupo humu humu mkuu...Mkuu huyu falcom mombasa yuko wapi? @ falcom mombasa