MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Uwiiiiiii ndio maana nimesema nikifika home nitulize akili niwakumbuke wote maana ni lawama hizo.
Safari ya kikazi mkuu.
Ewaaaaa.... kikazi. Orayt... kazi ya chama au kazi binafsi. Mi nna wivu kama Mugabe.
 
Mimi ni mtumishi wa chama unitendee kama ulivyonena.

@atoto ukuye pande hii. Kuna wito wa mwenyekiti. Uje without kabisa ili msipoteze muda.

Alafu babu kuniita ita wakati wa morning glory sitaki.
 
Wana JF wote wamenivutia kwa michango na mada zote kwenye majukwaa tofauti..
Nyote kheri ya Mwaka Mpya
 
M navutiwa na majipu ya Dk MAGUFULI ANAVYOTUMBUA

KAMA UMEWAHI TOA POST ZA MAJIPU BASI MM UMENIVUTIA SANA..ENDELEA USICHOKE
 
Back
Top Bottom