44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Wadau natumai Ni wazima;
Nilipata faraja Sana kuskia kijana alieongoza kuokoa watu kuwa serikali ilimuona na ikampatia ajira,naipongeza Sana serikali kwa hili.
Lakini mimi nmekaa nikifkiria nikaona memba wa humu aliyetabir hii ajali nae afikiriwe na Serikali maana huyu ndo ana umuhimu mkubwa sana kwa usalama wa maisha ya watu,maana ametudhihirishia kuwa anao uwezo wa kutabiri mabaya yanayokuja mbele yetu, utabiri wake ukifanyiwa kazi inawezekana kabisa kuzuia ajali.
Karibuni kwa maoni