Wilfred Ramadhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2022
- 503
- 905
Tutabirie mkeka tubetWatasema nimetumia ID nyingine kujipigia promo,mbona MAGUFULI niliona kabla hajawa rais mpaka 2021 mkeka ukatiki.MODS wameona aibu imebidi waufufue uzi wangu ili wanaobisha kwenye ajari ya ndege waone kwamba kukataa kwao hakuondoi kipaji ambacho mungu amenipa.Mimi huwa napelekwa kuonyeshwa jambo linapotokea popote pale duniani na naliona kama lilivyo,yaani kama ndege ni ndege na kama meli ni meli