MwanaJF aliyetabiri ajali ya ndege nashauri naye apewe ajira na Serikali

Tutabirie mkeka tubet
 
Nasikia ameisha ajiriwa na Kampuni za Betting ili asitoe siri.
 
Serikali yetu haitambui kitu kinacho itwa kipaji labda angetokea kwenye ukoo wa kikwete mwimyi au nyelele
 
Niwekee link ya huo uzi wa Magufuli,, sikubahatika kuusoma.
 
Asante sana maana umewaza tofauti kabisa na sisi wengine wote[emoji818][emoji817][emoji1752]
 
Ukiwatabiria mabaya japo ni ya kweli watakufunga.
 
Mkuu mshukuru sana Mungu kwa kipaji hicho. Kitumie kubadili maisha yako na kusaidia watu wengine. Binafsi sikufahamu ila I feel very proud of you
 
bora aendelee tu kujificha, maana ninavyowajua watz kwa kupenda ku entertain ujinga, siku akijitokeza na akathibitisha ni yeye, yafuatayo yanaweza kutokea.

wanaomini ushirikina na masuala ya unajimu watamzongazonga sana ili awabashirie mambo yao.

wanasiasa hususun wa ccm watamdaka juu kwa juu wakidai ni mtu wao wa siku nyingi, watamfanya ni ajenda kuu na ikulu au bungeni dodoma watampeleka.

waandishi uchwara wa online media watakimbizana huku na huko kumuhoji ili wapate content.

bila kusahau jeshi la polisi litamtaka aende kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi kuhusu utabiri ule na mengineyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe ni baba wa familia daaah!
Mkuu unajuaje kama ni baba wa familia?

Kuna watu humu wanajifanya vidume lakini muda wa kulala hugeuza trako kwa mwanaume mwenzake ili usingizi uje.

Soo faken😡
 
''Braza'' daaah!
Wakati mwingine nawaza au kuna jopo la wachawi(WANASIASA) waliiratibu ajali ndo wakakutuma uje utuandae kisaikolojia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…