MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye akili nyingi. Huyu Dennis ni msomi anayeongelea kwa undani sana kuhusu Nuclear power, Solar systems, na mambo mengine mazito ambayo hata NASA bado hawajayajua. Pia kwenye posts zake kaonyesha kuutaka urais.
Kikubwa zaidi kashasema yeye ni mtu mwenye akili nyingi sana za utajiri. Hii itasaidia CHADEMA kuondokana na kuomba omba michango ya kifedha. CHADEMA fanyieni kazi huu ushauri.
www.jamiiforums.com
Kikubwa zaidi kashasema yeye ni mtu mwenye akili nyingi sana za utajiri. Hii itasaidia CHADEMA kuondokana na kuomba omba michango ya kifedha. CHADEMA fanyieni kazi huu ushauri.
Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita