TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

Lala salama Eric
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu
 
Ninapenda kuwa kumbusha ndugu Wana JF kuwa mara nyingi tunapoondokewa na ndugu ,jamaa,marafiki,wanajukwaa wenzetu utakuta wengi tukiandika neno R.I.P na wengine tukiandika "awekwe mahali pema peponi au apumizike kwa amani n.k".Lakini tukumbuke pia kuwa kuna mahali pabaya penye mateso baada ya kuondoka duniani na unachagua uende wapi wewe mwenyewe ukiwa bado hai na hakuna atakaye chagua kwa niaba yako ukishaondoka.Maisha yako uliyoishi ulipokuwa hai ndiyo yatakayoamua unaenda wapi baada ya kufa na siyo rip
tunazoandika kwenye mitandao ya kijamii.
 
Mungu anatupa nafasi ya kuwa na huruma kwa wenzetu waliotangulia mbele ya haki. Neno zuri ni kumuombea apumzike kwa amani na asamehewe mabaya yake yote. R.i.p sio neno baya . Ni ishara ya kumuaga tu kwa Amani
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Kahama mtaa gani? Majengo, Nyasubi, Nyahanga, Igomelo au wapi? Tuhudhurie msiba
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
APUMZIKE MAHALA PEMA Erick Kalemela
 
Mungu anatupa nafasi ya kuwa na huruma kwa wenzetu waliotangulia mbele ya haki. Neno zuri ni kumuombea apumzike kwa amani na asamehewe mabaya yake yote. R.i.p sio neno baya . Ni ishara ya kumuaga tu kwa Amani
Hakuna msamaha baada ya kufa msamaha ni kabla ya kufa soma maandiko vizuri.
 
Back
Top Bottom