TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Last seen 22.5.2022! Then 23.5.2022 kafariki! RIP Mr Erick
 
Apumzike kwa amani mwenzetu kaumaliza mwendo, hakikisha matendo yako yanakutangulia
 
Una uhakika Bia yetu kadanja na si kwamba atakuwa kabadili ID ?
Mkuu, hapo tunakosa jibu sahihi. Wengi kwenye familia hii ya JF, hatuna mtu wa pili anayekufahamu. Hivyo, ukipatwa na tukio lolote, basi hapa haiji taarifa yoyote, zaidi ya kuileta wewe mwenyewe!
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
RIP Erick
 
Back
Top Bottom