TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

Huwa nikikutana na tangazo la namna hii, huwa nawaza sana. Hivi sisi ambao hatuna watu au mtu ambaye anatufahamu kwa majina yetu haya ya bandia hapa JF, tukifa, itakuwa kimya tu, kama vile tumeamua kuwa kimya tu, kama Bia yetu alivyoamua kuwa kimyaaaaa!
Una uhakika Bia yetu kadanja na si kwamba atakuwa kabadili ID ?
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Poleni sana wafiwa.
 
R.I.P Erick Kalemela. Mungu akujalie Punziko Jema[emoji26]
 
Mungu amrehemu na kumpokea mwanae mpendwa Erick. Pumzika kwa amani mpita njia mwenzetu, naso muda si mrefu njia yetu itafika kikomo tuungane nawe huko mapumzikoni kwa BABA.

NB. Tujitahidi kua na michango/comments zisizo na machukizo kwa wengine..Mtu akifa humu ndio tunaanza kuchunguza aina ya michango yake. Ni wazo langu tu lakini
Basi mimi ntachukiwa sana maana niko kama GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom