sampuli nyingi
Senior Member
- May 4, 2022
- 187
- 298
Rest in peace
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana wafiwaNinayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.
Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Pumzika kwa amani Mr ErickNinayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.
Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Alikuwa akiishi huko. Alikuwa mchimbaji madini.RIP, Eric hivi huyu alikuwa akiishi huko huko kahama na pia alijishughulisha na nini hapo kabla?
Maana huko kahama ninajamaa yangu anatumia jina hili na kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano yake kwa muda mrefu kidogo.
Huwa nikikutana na tangazo la namna hii, huwa nawaza sana. Hivi sisi ambao hatuna watu au mtu ambaye anatufahamu kwa majina yetu haya ya bandia hapa JF, tukifa, itakuwa kimya tu, kama vile tumeamua kuwa kimya tu, kama Bia yetu alivyoamua kuwa kimyaaaaa!RIP, Eric hivi huyu alikuwa akiishi huko huko kahama na pia alijishughulisha na nini hapo kabla?
Maana huko kahama ninajamaa yangu anatumia jina hili na kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano yake kwa muda mrefu kidogo.
Aisee, ni wapi alikuwa akichimba mwime,bushimangila,mwakitolyo au tambarare?Alikuwa akiishi huko. Alikuwa mchimbaji madini.