TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

Mola Mlezi hana sifa ya kulala, kuchoka, kuzaliwa, kuoa au KUFA.... YEYE ni wa MILELE, HANA MWANZO WALA MWISHO...

Kufa kama kulivyo kuzaliwa ni TRANSITION KWENDA KWENYE HATUA NYINGINE YA MAISHA.

Innalillah wainailayh rajiuun.... hakika Sisi sote ni wa Mola Mlezi na kwake sote tutarejea!!!!
Kwanini Allah abaki pekeyake, huoni huo ni ubaguzi dhidi ya Binadamu?
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Kaka ungetiya nakapicha
 
Jina la bwana lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom