TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

Apumzike kwa amani. huyu bwana alikua anaishi kakola?. kwasababu kuna dada mmoja nlipanda nae gari anaenda msibani kakola siku ya tarehe24 nkakaa nae siti1 na akaniambia kaka yake kafariki tarehe23 huko India, kwaiyo naona hizi taarifa mbili zinafanana.
 
Kalemela= kahemela?
 
RIP mwana JF
 
Pumzika kwa amani Erick...hakika wema hawana maisha😣
 
Ni sahihi kabisa. Ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…