MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
Pole sana kwako na familia yote kwa msiba. Mungu ampumzishe mahala pema!Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.