Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Very sad News. RIP brother, Mungu akupe pepo iliyo njema.Habari wana jukwaa. Napenda kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.
Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.