Pole sana kwako na familia yote kwa msiba. Mungu ampumzishe mahala pema!Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.
Apumzike kwa amani.Apumzike kwa amani amina.
Marehemu hakua na makuu kabisa, na amewahi kufuandika threads mbili tu tangu ajiunge Jf.Muanze kufukua makaburi?
Habari wana jukwaa. Napenda kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.
Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.
Kuanzia leo, nimekoma na nitauzingatia sana huu ushauri.ushauri wangu
kama hakuna ulazma wa kupanda boda boda au huna haraka ya unakoenda tafadhali usipande boda boda. haki ya nan hz boda znamaliza vijana wenzetu.
RIPHabari wana jukwaa. Napenda kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.