TANZIA MwanaJF mwenzetu Ramaa Tech afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

natamani sana kuanzisha kampain "don't touch boda boda"

lakini vijana wengi wamejishika hapo wakiendesha maisha yao.dah RIP.
 
Nimeandika wapi kwamba nakwepa kifo..??
Don't be that much stupid.
Ninapo jaribu ki risks, haimaanishi kwamba sinto kufa please c'mon...

You are extremely stupid, do you know the functionality of question tag, in a sentence?

Nimekuuliza swali, sio statement, stupid
 
Moyo wangu unajaa huzuni sana ninaposikia kifo/vifo vya vijana wadogo ambao ndio nguvu kazi wa taifa hili.

May his soul rest in eternal peace.
M/Mungu awape nguvu familia, ndugu na watu wa karibu wa marehemu.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Innalillah wainna illah raji'un,
Pole nyingi ziwafikie familia na wote walioguswa na msiba huu, tupo pamoja.
 
Mtoa mada hebu toa ratiba ya mazishi, wapi msiba unafanyika na kama kuna namba ya mwanafamilia muombe ridhaa yake iwekwe hapa tuchangie chochote, huyu ni member mwenzetu haitakua vizuri kushindwa kutoa chochote au walio karibu kufika kumzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…