Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Ngoja tuone kama atakuja kuandaa "misa " ya kumjibu na huyo mama.
maana huwa anatuambia yeye kama baba wa familia akishambuliwa
ni lazima ajibu mapigo. Hivyo tunasubilia majibu yake ya shombo yatavyokuwa, maana
jamaa kwa kumwaga povu hajambo , utafikili aliwahi kuwa TEAM shilawadu.
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Akamwambie Bashite alete vyeti kwanza hio tbc/uhuru redio cha chama inatumia nguvu nyingi sana kutetea mtu aliyepata zero
 
Hilo sio tatizo na wala sio habari ya kusisimua.

Umezaliwa na kusoma kwa jina la Daudi Bashite kuanzia primary mpaka Secondary.

Una-fail form 4 alafu unatumia cheti cha mtu mwingine kwenda chuo alafu unakuwa mkuu wa mkoa kwa jina la Paul Makonda.

Baadae siri zinatoka badala ya kutoa vyeti ili ujitetee unaamua kwenda kulia kanisani ili upate huruma za wananchi.

Hili sasa ndio TATIZO na hii ndio habari ya kusisimua.
 
CCM inafanya mambo ya kitoto..., wanamuanza wenyewe Gwajima akijibu wanasema asemehe.... Uhuru fm ni kituo cha chama inajulikana ilo angalau hata angeenda E-FM ningemuelewa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…