Unajichimbia sanaaaaTeh teeeh uwage unanshtua kwnye newz hot kama hzi
Tulinganishe maneno ya kwenye clip na rekodi zilizo kwenye kadi.Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
View attachment 483081
Huyu mama anajidhalilisha sanaTulinganishe maneno ya kwenye clip na rekodi zilizo kwenye kadi.
Huyo msichana anasema alifukuzwa kipindi cha kampeni za uchaguzi wa Rais mwaka juzi akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja, let's assume ilikuwa October
then katika hali ya kawaida tunatarajia mtoto azaliwe mwezi wa saba 2016
Lakini kadi inaonyesha mtoto alizaliwa mwezi disemba 2016, yaani kama ni kuzaliwa amezaliwa akiwa ni ujauzito wa miezi si chini ya 14.
Exceptional!
Awe mchungaji asiwe mchungaji namwamini hadi pale bashite atakapomsuta kwa kuonyesha vyeti vyake. Hiyo nguvu uliyotumia kumchafua Gwajima ungewekeza kumsisitiza bashite aweke vyeti nadhani ingesaidia kupunguza idadi ya wafuasi wanaomiminika kwa baba askofu... 2moro nyomiiiiiiiiiiiiiiiiMbona Mnafuata kichwa Mchunga Nyinyi Akili zenu Mmemwachia Nani eti Mchungaji Anafufua watu Mbona haendi Mwimbili akafufue watu ila waswahili wanasema Wajinga Ndo waliwao
Binafsi nmezaliwa Ubungo Alivyoanza Mchungaji huyo kuhubiri ya kuwa anauwezo wa kufufua watu waliokufa vifo ambavyo sio vya kawaida wakiwemo Misukule alijaza watu wengi sana hapo kanisani kwake Ila baadae wakaja kumgundua kuwa "Anawacheza Shere " wamemkimbia mmebakia nyinyi Vinga'ng'anizi tena Wageni waulizeni Wenyeji wenu wawape Fununu za huyu Muovu aliyevaa vazi la Uchungaji!!!
Ha ha ha amchukue mtoto wa GwaJ? Mtoto wa paka na wa panya hawawezi kucheza pamojasasa bashite si bora angemchukua huyo mtoto awe wake maana nasikia huu mwaka wa kumi kwenye ndoa lakini hana hata mtoto wa kusingiziwa
Ukumbuke huyo Daudi ameshindwa kumtia mimbaMie naona bora gwajima kamtia mimba wengine wanalawiti vijana wetu....! Kumtia mimba mtu kwa hakika si kosa la jinai....kutekeleza mtoto ni jambo ambalo mama akikaza uzi kidogo hata bila mahakama .....matumizi atapata...si ajabu kwa mtumishi wa mungu kuteleza...aliteleza daudi...samson...suleiman ndo ije iwe kwa gwajima....this is not in the public interest.....what is the public interest ni pale wale maafisa wa serikali wa pale karbu na sayansi mitaa ile pale.....wale jamaa wanaboa kishenz wamenyamazia kitu ambacho ni public interest kabsa....criminal offence kabsa....inaboa sana....but poa....!
Nb: gwajima tafta mmama mwingine...tia mimba...hizo zitakuwa kesi zako na Mungu siye hazituhusu kabsaaa
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
View attachment 483081
Gwajima ...tupe ukweli Wa huyu bibie.....ukimshinda bibie huyu mpeleke mahakamani...mdai fidia kiasi cha milioni 200 tu....kwakukudhalilisha...kisha hizo pesa peleka kwa watoto yatima ili iwe funzo kwa wengine kununuliwa nunuliwa kijinga.......ila bashite alete vyeti ........Awe mchungaji asiwe mchungaji namwamini hadi pale bashite atakapomsuta kwa kuonyesha vyeti vyake. Hiyo nguvu uliyotumia kumchafua Gwajima ungewekeza kumsisitiza bashite aweke vyeti nadhani ingesaidia kupunguza idadi ya wafuasi wanaomiminika kwa baba askofu... 2moro nyomiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naanza kuelewa kwanini Sizonje mkata umeme anapenda kipindi cha SHILAWADU.
Kweli hilo kadi fekero nimemuuliza ma wii kanambia sindano hazifatani hzo, hafu kad halijaandikwa hata mtaaBashite atayajulia wapi hayo na mtoto hana!!!?
Duuuh sio vzr nakua wa mwisho kuona newz kama hiziUnajichimbia sanaaaa
Sijui unakuaga chimbo gani