Hizo habari zenu bado ni muendelezo uleule wa kipuuzi kumzulia mtu uongo mkijua aliyemteua atawasikiliza.....halafu mlivyo waajabu kuonesha dhamira yenu sio vyeti tu. Kila siku mnaibuka na hili mara lile...yani mnatia aibu hata mtoto mdogo kaishajua nyie mnataka tu kichwa cha Makonda....kitu ambacho JPM kaishawashtukia na sidhani kama anajisumbua kuwasikilizaNdio mnachokimbilia na gari la muuza unga kuwa nyumbani kwa bashite je
Hizo habari zenu bado ni muendelezo uleule wa kipuuzi kumzulia mtu uongo mkijua aliyemteua atawasikiliza.....halafu mlivyo waajabu kuonesha dhamira yenu sio vyeti tu. Kila siku mnaibuka na hili mara lile...yani mnatia aibu hata mtoto mdogo kaishajua nyie mnataka tu kichwa cha Makonda....kitu ambacho JPM kaishawashtukia na sidhani kama anajisumbua kuwasikiliza
Ndo hivyo aliyepo juu sasa ana utashi endeleeni kuishi kwa historia mkatae kubadilika....Dar ilikuwa na watoto wa mjini wewe kina dito na wengine sembuse huyo kolomije na ziro yake mfyuu
Wewe nae ni Bashite wa pili. Kwani kasema kuwa huyo dada kajifunika? Kasema huyo anaemhoji yaani huyo mtangazaji. Au ndo hata kusoma hujui kabisaaa!?Duh! Huyu dada amejifunika uso kweli au Yericko ana makengeza!!
Ndio umeamka mrembo, pole kwa kazi.