kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Ni aibu mchungaji kuzaa nje ya ndoa...sio mchungaji kumbe ni askofu mkuu. Vyeti vitAtolewa mahakamani.Kwani alibakwa? Si alisalaula mwenyewe mpaka ikatlkea mimba!!! Cha ajabu nini kwenye hili??? Weka vyeti Bashite ujanjaunjanja wa kipuuzi Kama huo haukusaidii weka vyetiiii!! Unaleta mambo ya Kolomoje hapa!!!!!
Lkn sio nje ya ndoa...je ndivyo dini na mungu anayemuamini anavyofundisha?Ahaa! Sasa naanza kupata picha, kwa hiyo ni video ya kumpaka unaa Baba Askofu Mpendwa Wetu Mtumishi wa Bwana Josephat Gwajima?
Kusingiziwa mtoto sio kesi kwa mwanaume, kesi ni kuambiwa mtoto unayesema ni wako sio wako.
Baba Askofu akose uzazi kweli...masihara hayo.
Kuionyesha jamii askofu mkuu anavyoshindwa kucontrol zipu yakeLengo ni nini..?
Amekuomba msaada?Daudi kawa kama kuku aliyekatwa kichwa!! Tumsaidie kijana mwenzetu kadri ya uwezo wetu!!
Inawahusu wanaojali na wale waumini wake...vyeti vitatolewa mahakamani sio mtandaoni.Kama mmepigwa mimba na Gwajima sisi haituhusu, tunachohitaji vyeti vya mkuu wetu wa mkoa
Hata ukiamini haimfanyi asifanye kaziHata wakituaminisha na hatimaye tukaamini kuwa Gwajima ndiye ibilisi na shetani yule mwovu anayenenwa na vitabu vitakatifu, bado haitafuta ukweli kuwa makondakta kapiga figisu katika elimu yake na utajiri wake.
Alete wapi? Gwajima si alisema anavyo ofisini kwake?Sasa Bashite umejimaliza kabisaaaa. Leta hapa JF vyeti vyako. Unavyozidi kuchelewa hata ikivipaka masizi vitaonekana vya kufoji. Utaalam huo ni wa siku nyiiingi.
Gwaji ni kiongozi mdogo saana. Kanisa lake halina watu unao waongoza weye. Lipo chini ya mamlaka yako ndo maana ukamuamuru aje ofisini kwako au kwenye ofisi uliyo na madaraka yako naye akaja akitetemeka kwani aliwahi kabisaaa.
Hatutaki kujisumbua naye, tunataka vyeti vyako ujisafishe tuuu baaasi. Acha maneno, lete vyeti
Mahakamani ataviletaSawa siwez kumtetea ngwajima coz sijui namshaur amlee mtoto
Kla bashite vyeti kwanzaaa
Subiri mahakamaniWengi ni watoto wa nje ya ndoa,na vyeti vya kuzaliwa wanavyo..
Bashite leta vyeti dogo acha janja janja yako
Sio kwa nje ya ndoa kwa askofu unamislead waumini wakoSasa huo ndio UANAUME. Ukiona maishani mwako hujawahi kushitakiwa kwa masuala ya mimba basi usisumbue binti za watu kuwapa wazeekee kwako km masista wa Kanisa Katoliki
Kweli kughushi ni jinai na hukumu yake miaka saba mpk 15. Mahakama pekee ndio yenye uwezo wa kutoa hukumu sio gwajima. Nendeni mahAkamani vyeti vinakuja.Nimemuangalia huyo mlalamikaji nimebaki nacheka tu.
Huyo demu alivyo komaa kama makanyagio ya bata ndio gwajima apoteze mbegu zake bure hapo.
Yani mademu wote wale wakali wakali anao waombea, aishie kumla mpiga deki sakafu na mpanga viti wake!?!?
Aisee
But hey mtoto ni baraka lakini kugushi vyeti ni jinai.
Kama kamla its all good lakini kwa muonekano huo kama chuma chakavu sidhani kama baba Askofu alisuuza rungu hapo.
Mimi ni mu RC safi kabisaa ila sikubaliani na huu ujinga wa Bashite kutaka kujisafisha kwa mgongo wa Gwajima kumpa mimba mtotoHalafu wengi wanotoka povu humu nahisi niwaumini wake huyu jamaa sio bure..
Tumuombee kwa Mungu huyo mtoto asijeuza unga kama baba yake na kufanya jamii misukule.