Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% bashite ndie aliyetengeneza hii kitu, pekenyua zaidi mamaWala hajatajwa Makonda hapa. Huyu ni mwanamke mwenzio.
Mkuu achana na kumjibu huyo ni roboti yale yanayoingiaga kwenye mitandao kama watu.!Wewe nawe sijui ni Bashite, Mbona Yericko anasema anayemhoji ndo amefunika uso? Huwa mnasomaje Kiswahili nyie?
kasali tu mkuu, hii imesukwa na bashiteUmepatwa na nini siku ya leo mrembo, maana naona kila baada ya dk kadhaa una post kuhusu Gwajima, as if ni kuku amebanwa ya yai mbuni anashindwa jinsi ya kulitaga.
![]()
Mkuu nishafika kanisani tayari.Pasi nguo twende.
Mi ndio nipo Ubungo Maji, mambo ya MWENDOKASI. Akianza kusema TOENI SIMU ZENU MREKODI, naomba unibeep!Mkuu nishafika kanisani tayari.
1.Kuhusu DNA. huko kuna kitengo kimeishaandaliwa kutoa majibu feki.Acha upuuzi
1. Mama yupo tayari kupima DNA. unsemaje?
2. Mtoto na gwajima ni copyright. Au wamefanana KWA bahati mbaya?
Shirikisha ubongo na sio unatumia kucha kufikiri
Anaangalia pembeni sio kujifunika uso vinginevyo hilo umesema wewe...Duh! Huyu dada amejifunika uso kweli au Yericko ana makengeza!!
Na anatumia Kalamu hiyo hiyo nyeusi kila siku au sio!!Kijijini nesi,mkunga na mtoa dawa ni mmoja tu.
Toeni hadharani vyeti vya makonda ili nae awa prove wrong kama mnavyojaribu kutetea uzinzi.
Mahita aliumbuka kwa mambo kama haya
Bashite wa pili huyu!!! Umeshindwa kuelewa hiyo analysis!?!?Aisee gwajima ana raha watetezi wote hawa,yaan hata kama mtoto ni wake kiulainii nae atasingizia makonda kapanga mchezo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana Bodi,
Hivi majuzi kiongozi wet mkuu akiwa anaongea na kituo cha TV cha Clouds aliwaambia watangazaji wa kipindi cha nyuzi 360 kuwa yeye ni mpenzi wa kipindi cha SHILAWADU kinachorushwa na stesheni hiyo.
Nilikuwa najiuliza mambo mengi behind mapenzi ya chief kwa Shilawadu na leo nimepata majibu. Nitaelezea kidogo
Leo imesambaa video ya mwanamke mmoja akihojiwa na Soudy Brown, kwa maelezo yake ni kuwa amezaa na "mzee wa Ubuyu" bishop Gwajima na kutelekezwa.
leo hii pia kuna taarifa video hiyo imesambaa baada ya hasa watu wa Clouds kugoma kuirusha jana alhamis kwa sababu walikuwa hawajampata Gwajima kupata the other side of the story. Video hii inahusishwa na Makonda mzee wa vyeti feki akiwa na nia ya kuitumia SHILAWADU kumchafua Gwajibu.
Nilichongámua, mkuu wetu alifanya promo ya kipindi hiki cha Shilawadu ili kuwaandaa watu kisaikolojia wawe wanafatilia maana ingeonekana hata mkuu wetu hufatilia pia. Huu ulikuwa ni mkakati wa kuwaandaa watanzania kumuona Gwajima akiiumbu matokeo yake WAMEUMBUKA wao... Abortive Makonda counterattack.... SHILAWADUUUUUUUU
Sio kujidhalilisha tu we subiri atatajiwa hadi mabwana aliotembea nao na idadi ya mimba alizokwisha chomoaga wapi saa ngapi na nani...sio kwa mzee yule wa ubungoHuyu mama anajidhalilisha sana
Huyo "Dawamondu" ndiye kiongozi gani kweli.?Katika huu mkakati hata Diamond yupo
Labda pale kijijini kuna duka moja tu na kalamu zote wanauza nyeusi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na anatumia Kalamu hiyo hiyo nyeusi kila siku au sio!!
huyu mama akipelekwa mbele atatapika kila kituNashauri gwajima amkamate huyo dada ampeleke mahakamani ili akahojiwe vizuri akishindwa tu, amtaje aliyemtuma!
Halafu tumalizie na issue ya vyeti
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
View attachment 483081