Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali MkuuMi ndio nipo Ubungo Maji, mambo ya MWENDOKASI. Akianza kusema TOENI SIMU ZENU MREKODI, naomba unibeep!
Mlianzisha la vyeti...likaback-fire nilidhani mmejifunza.....sasa tena ni issue ya uzinzi....polepole jamani mnazidi kuharibu.....turudi kwa issues za kuendeleza nchi sio kupambana na personalities. Nchi ya viwanda mikakati iko wapi?Kwa hiyo mtoa mada...
Nani asifanye kazi gani?Hata ukiamini haimfanyi asifanye kazi
Exactly. Wamefeli kuanzia darasani mpaka mtaaniKuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,
Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.
Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.
Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,
Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,
Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.
Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...
Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.
Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.
Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.
Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?
1. Jina la hospital aliyozaliwa,
2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.
3. Mhahali anapoishi.
4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...
5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?
6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.
7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu
Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::
Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni
Na Yericko Nyerere
Source: Yerico Nyerere Facebook Page
.
![]()
Kijiji kipi maana kadi haina jina la mahaliKijijini nesi,mkunga na mtoa dawa ni mmoja tu.
Toeni hadharani vyeti vya makonda ili nae awa prove wrong kama mnavyojaribu kutetea uzinzi.
Mahita aliumbuka kwa mambo kama haya
Yericko Akili kubwa hawezi kutoka fafanuzi ya kibashite, kasema MTU ALIE MUHOJI NDIO KAFUNIKA SURA.Soma upya maandiko ya Yeriko, usikurupuke. Aliyemtaja kufunika uso ni mwandishi anaemhoji binti, sio binti mwenyewe. Pitia post uliyomnukuu Yeriko hapo juu!
Baba alijitahidi asifanye makosa alikuwa anaita Makonda, sasa unajiuliza baba si ndiyo angeita Paul au Daudi-David?
Akamwambie Bashite alete vyeti kwanza hio tbc/uhuru redio cha chama inatumia nguvu nyingi sana kutetea mtu aliyepata zero
CCM inafanya mambo ya kitoto..., wanamuanza wenyewe Gwajima akijibu wanasema asemehe.... Uhuru fm ni kituo cha chama inajulikana ilo angalau hata angeenda E-FM ningemuelewa kidogo.
Mlianzisha la vyeti...likaback-fire nilidhani mmejifunza.....sasa tena ni issue ya uzinzi....polepole jamani mnazidi kuharibu.....turudi kwa issues za kuendeleza nchi sio kupambana na personalities. Nchi ya viwanda mikakati iko wapi?