BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Chief bogo miyeyuu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hilo kadi fekero nimemuuliza ma wii kanambia sindano hazifatani hzo, hafu kad halijaandikwa hata mtaa
yaani jamaa kanunua hadi wazazi??? Cheo si mchezo!!Nashauri gwajima amkamate huyo dada ampeleke mahakamani ili akahojiwe vizuri akishindwa tu, amtaje aliyemtuma!
Halafu tumalizie na issue ya vyeti
Siyo dar tena????ni kijijini ???Kijijini nesi,mkunga na mtoa dawa ni mmoja tu.
Toeni hadharani vyeti vya makonda ili nae awa prove wrong kama mnavyojaribu kutetea uzinzi.
Mahita aliumbuka kwa mambo kama haya
Mkuu una vielelezo? Maana Radio yenyewe uliyoitaji bora hata TBCCM. Hiyo radio ni kada namba 1. Ungekuwa hauna vinasaba vya kibashite bashite usingeandika kiumbea hivyo.
Chukulia hilo linalosemwa ni la kweli, je, alimbaka au alivua/ kuvuliwa nguo kwa hiari yake? Kama ni kwa hiari yake shida iko wapi?
Shida ni kutelekeza mtotoMkuu una vielelezo? Maana Radio yenyewe uliyoitaji bora hata TBCCM. Hiyo radio ni kada namba 1. Ungekuwa hauna vinasaba vya kibashite bashite usingeandika kiumbea hivyo.
Chukulia hilo linalosemwa ni la kweli, je, alimbaka au alivua/ kuvuliwa nguo kwa hiari yake? Kama ni kwa hiari yake shida iko wapi?
Mna kazi mtaanzisha thread weee lakini Makonda atabaki kuwaongoza nyie wala mihogo na pweza
Soma vizuri mkuuDuh! Huyu dada amejifunika uso kweli au Yericko ana makengeza!!
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
View attachment 483081
Haya ngoja tuone....maana Bunge lijalo ni la bajetiAtajiongoza yeye na wajinga wenzie ngojea bunge lianze
Haya ngoja tuone....maana Bunge lijalo ni la bajeti
Hahaha basi wewe ni drug dealer....yaani Rais amuondoe Makonda kisa nyie wauza unga kumuanzishia vita mteule wake baada ya kuwakurupusha mchana kweupe mkiuza unga....poleni na nendeni mlitumie Bunge limuondoeUsije tu ukahama humu mimi ni mtanzania si ccm wala chadema ila hili swala la bashite ni la kitaifa atuachie mkoa wetu wa wauza mihogo arudi kwao kolomije l
Hahaha basi wewe ni drug dealer....yaani Rais amuondoe Makonda kisa nyie wauza unga kumuanzishia vita mteule wake baada ya kuwakurupusha mchana kweupe mkiuza unga....poleni na nendeni mlitumie Bunge limuondoe