Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Watanzania ifike sehem tutumie akil zetu kufikir na kuamua..

Hii vita ya hawa jamaa ina lenga kuweka wazi weakness za mwenzako.. ndo tactic kubwa ya vita hii..analosema Gwajima juu ya makonda utakuta lina ukwel lkn pia analosema makonda juu ya Gwajima utakuta lina ukwel.. mengi yata semwa ila muhimil wa vita ndo huo..

Gwajima alileta habar ya vyeti ya makonda zoezi lika kwam pale makonda alipo ambiwa kuthibitisha vyeti.. japo dalili zote zinaonyesha kua ni kwel kuna tatizo katika vyeti..

Leo, issue ya Makonda ku raise kutelekezwa kwa mtoto ambae baba yake inasemekana ni Gwajima.. umekuja uthibitisho kua ile kadi ni kama ya ku gushi.. lkn kadi hiyo imepigwa picha hatujui nani kaishika..je ndo alioionyesha huyo mama na ikathibitika kwel yy ndo kaiweka adhalani?. lkn pia nilikua nadhani hii itumike kama step stone ya kumaliza issue ya makonda.. Gwajima ajitokeze kupima DNA ili ku prove kinacho daiwa.. DNA prove will say loud more than atayo ongea kanisani au nyuma ya keyboard.. Na ikithibitika kua mtoto si wake guess wot? Makonda atakua katika wakat mgumu zaidi na ndio atazidi onekana mpuuzi.. ila kama ni kweli bas Gwajima nae hatakua hana maadili ya kazi yake kama kiongozi wa dini.. wote hawana maadili katika uongozi wao mmoja serikalini mwingine taasis ya kidini..
 
Gwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga

Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo
Wakina sudy ameqapiga na kuhlharibu ofisini kwao sasa ukweli unajileta wenyewe
 
Gwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga

Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo
Hopeless kabisa! Kuna kosa kubwa kama kumtelkekeza mtoto! Hopeless kabisa na wote wanaounga mkono. Hamna utu kabisa wala kumuonea huruma huyo mtoto kisa ni makonda! Hii chuki sio bure hata kosa la Gwajiba mnaona kla kawaida shame on you!
 
Chunguza hiyo hapo chini useme,je miandiko inafanana?
 

Attachments

  • 1489935435328.jpg
    1489935435328.jpg
    34 KB · Views: 105
Chunguza hiyo hapo chini useme,je miandiko inafanana?

Kazi rahisi sana hiyo kwa watu wa Fraud kwani pamoja na kijaribu kulazimisha mwandiko uwe wa kike lakini ameshindwa kuficha namna anavyounganisha herufi zake......
 
Ngoja tuone kama atakuja kuandaa "misa " ya kumjibu na huyo mama.
maana huwa anatuambia yeye kama baba wa familia akishambuliwa
ni lazima ajibu mapigo. Hivyo tunasubilia majibu yake ya shombo yatavyokuwa, maana
jamaa kwa kumwaga povu hajambo , utafikili aliwahi kuwa TEAM shilawadu.
 
KUNA DADA AITWAE MAMA MAX YUPO KATIKA REDIO UHURU AKITOA USHUHUDA WA KUTIWA UJAUZITO NA KUZALISHWA NA ASKOFU MAARUFU KWA KUDANDIA NA KUROPOKA HOVYO , SASA NA HILI NALO ALIVALIE NJUDA HUKO KANISANI, TAPELI BIN FUSKA MKUBWA
Unatuondoa kwenye reli!!! Umetumwa na Daudi,kwani kumzalisha mtu ni kosa??
 
Back
Top Bottom