Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
Issue mkuu siyo hiyo.Kumjua hata sisi tunamjua fika,,na kumjua is not a big deal au achievement to brag about.Issue ni kuwa je leo akikamatwa kwa utapeli au any wrong doing akishtakiwa ataitwaje?Its so obvious kuwa itakuwa ni Fauzia Jamal anashtakiwa maana ndivyo anavyojulikana na hawataenda kwenye historia kuulizia hayo yote unayoyaleta hapa.Tuchukulie kwa mfano angekuwa mwanamke wa mfano wa kuigwa na tukawa tunamsifia hapa kwenye forum, bado ungeleta argument hapa kuwa huyo mnayemsifia haitwi Fauzia bali alizaliwa na Francis akaitwa Flora?
Tuache unafiki na tuangalie issues na material facts na tuache non-issues!
Suala hapa ni mwanamke anayeitwa Fauzia Jamal anavyotesa wenzake kwa vitendo viovu period!
Sawa kaka endeleya na hoja, niliona niweke sawa tu kwamba ajili gani anahudhuria pale kwa mama mbunge. pia isijekuwa jina ni njia ya kujifichia kwenye utapeli.