mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kuugua kwake Na ccm Luna uhusiano gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Usiku Utakapokwisha" lazima kuwe na "Vuta n'Kuvute" hapoNeno " Maombi " limekuwa maarufu sana awamu hii ya tano.
Huyu nae eti alikuwa na matumaini ya kuja kuwa Mbunge?
Ngoja niendelee kusoma novel yangu iitwayo " Usiku Utakapokwisha "
Usiwaze mkuu wanguUkiimaliza mkuu uniazime tafadhali
uko sawa mwanafasihi."Usiku Utakapokwisha" lazima kuwe na "Vuta n'Kuvute" hapo
Haaaa haaaaa. Tuko pamoja mwanafasihi mwenzanguuko sawa mwanafasihi.
Najua ni kitabu ambacho nitakapoanza kukisoma sitakiweka chiniUsiwaze mkuu wangu
Ngoja na mm nisome "jua litakapofika utosini".Na mie nasoma.. "Jua litakapochomoza...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mwanamama?kazaa lini?![]()
Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku nyingi alitamani sana mzee JK kipenzi cha watu aendelee kuwa mwenyekiti.
Watanzania wenzangu tunaombwa tumuweke Wema katika maombi yetu ya kila siku ili aweze kupona na kurudia hali yake ya kawaida
Ina mana tusipomwombea hatopona au?![]()
Mwanamama na kada maarufu wa chama cha mapinduzi amepatwa na mshituko mkubwa baada ya kusikia mwenyekiti wa chama lazima awe Magufuli, mtu wa karibu wa mwanamama huyo anadai kada huyo wa siku nyingi alitamani sana mzee JK kipenzi cha watu aendelee kuwa mwenyekiti.
Watanzania wenzangu tunaombwa tumuweke Wema katika maombi yetu ya kila siku ili aweze kupona na kurudia hali yake ya kawaida
Wenzake wanavaa kwenye kidole kimoja yeye duhh,af kama mkono wa kulia vileeVidole Vyote Pete Khaa! Huo Weupe Mishipa Imemsimama Kama Yupo Juani ?
Anapata Pressure Ya Nini Hamuoni Mpendazoe Na Mgana Wamekuwa Ng'ombe Waliokatika Mkia Zizini Watajulikana Tu
Haa!
Mawazo ya kuachwa![]()