Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

Labda ile ya kudanganya Idris bado yupo nae inamsuta,
Ukijumlisha na chenji za sisiem,
Ukijumlisha na kukosa bwana,
Ukijumlisha na awamu ya maisha magumu pesa haimwagwi,
Ukijumlisha mbeba pochi na mnanii wake Petit karudiana na mkewe,
Ukijumkisha na kutojielewa,
Ukijumlisha na kusoma elimu ya kasi aitakayo
Raisi hata kupata vyeo sisiem na kadhalika lazima yaLiyomtokea...

Atulie atapona.

Oooh nilisahau,
Na dadake wa mitandaoni,
Na kujaribu kutaka kuvunja mahusiano ya Chibu,
kwa jinsi alivyotegemea Mrs Chibu ataachwa..
Mara kumbe uongo...
Na kupiga kote miziki ya Chibu snapuchati pati ya juzi haikujaza n.k.
.
Mzuri-Mie Bwana!
Kumbe unajua hata kuandika mashairi?
Ila sijaelewa hapo kwenye blue text...
 
Back
Top Bottom