Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

Vidole Vyote Pete Khaa! Huo Weupe Mishipa Imemsimama Kama Yupo Juani ?
Anapata Pressure Ya Nini Hamuoni Mpendazoe Na Mgana Wamekuwa Ng'ombe Waliokatika Mkia Zizini Watajulikana Tu

Haa!
 
huyu ndio yule mchezaji mpya wa Simba kutoka Congo au huyu ni yupi?!
 
mwanamama?kazaa lini?
 
Mbona kama kumekaa kiutafutaji kiki vile unless kweli anaumwa kitu kingine kabisa
 
Ina mana tusipomwombea hatopona au?
 
Vidole Vyote Pete Khaa! Huo Weupe Mishipa Imemsimama Kama Yupo Juani ?
Anapata Pressure Ya Nini Hamuoni Mpendazoe Na Mgana Wamekuwa Ng'ombe Waliokatika Mkia Zizini Watajulikana Tu

Haa!
Wenzake wanavaa kwenye kidole kimoja yeye duhh,af kama mkono wa kulia vilee
 
Sio kweli. Anafahamu kuwa Rais ndiye anastahili kuwa M/kitu wa chama. Anatatizo lingine tu. Inathaniwa bibie u mjamzito.
 
Katika vidole kumi vya mikononi sita vyote vimejaa pete duhh kweli huyu ni mwanamama[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
An
Mawazo ya kuachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…