Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

Una chuki sana dada....unadhani maisha yako yatakuwa bora kwa kumuweka mtu mwingine chini?

Yeyusha hilo donge kooni kabla halijakuua
 
Au alikuwa na mimba? Haaaa mabinti wetu hawa Sijui kama tutafika nao salama
 
Mhhhhh jamani mna hakika
 
Kuna movie anatengeneza na hii ni moja kati ya 'scene' zake.
 
Una chuki sana dada....unadhani maisha yako yatakuwa bora kwa kumuweka mtu mwingine chini?

Yeyusha hilo donge kooni kabla halijakuua

Eeeh huyu simjui nimchukie nini, upwupwu tutausema...ni sitaaa..maisha yake ni yake anatuonyesha tunajajiiiiiiiiii...ndio chaguo lake.
 
Nani amekuambia...acha umbea
 
Wema ana stress tu zinamsumbua
Eti kastuka Jakaya kuachia kiti.Jakaya katangaza anang'atuka tokea feb huko singida
 
Dah Mungu tusaidie.Kuna vitu vya kuonyesha public na kuna private.unavyojianika hivyo ...🙁
 


nikifanikiwa kuipata namba ya simu ya huyu ntafurahi sana msaga sumu fanya mambo
 
Mmh huyo daktari aliyegundua na kuthibitisha ugonjwa namsifu sana.. anaweza kuwa peke yake duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…