- Thread starter
- #41
Mara nyingi ukiona mwanamke anajaribu sana kuonesha anapendwa jua kuna udhaifu unafichwa.Me Kwa mtazamo wangu Uwe na furaha Uwe na huzuni keep it private hata kama ni socialite keep it low keep it private unless otherwise Uwe kama Harmo na Diamond wao kwao hiyo ni kiki.....ni sehemu ya kazi kuandika mahusiano ila naamini ukiwauliza hasara ni nyingi kuliko faida .......Ati unatundika Bango. Mahala Wacha Dunia ijue nakupenda.....wakishajua itasaidia nn faida ndo hiyo....mkiachana they will say Kiko wapi
Raha ya penzi mwanaume ndo apaparike kujivunia wewe kama mke wake halafu wewe uwe unajibu mapigo