Mwaname wa kiafrika hasifiwi hadharani wala halelewi

Mara nyingi ukiona mwanamke anajaribu sana kuonesha anapendwa jua kuna udhaifu unafichwa.

Raha ya penzi mwanaume ndo apaparike kujivunia wewe kama mke wake halafu wewe uwe unajibu mapigo
 
πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚
Umenikumbusha mapenzi ya ujanani ya kishuleshule... huwa ni matamu sana, mnalelewa na wazazi so kitu pekee akili inawaza ni mapenzi.
Ukiletewa hata jojo roho inasuuzika
πŸ˜†
 
Huna akili
 
Huna akili wewe na kizazi chako..... mapepo yanakusumbua mpaka unashindwa kulala busy alfajiri mitandaoni.



Heal sis heal....
Tafuta kazi we mtoto πŸ˜† una kazi ya kufuatilia umbea na maisha ya mastaa!

Jitazame sana mtoto wako anakutegemea bibie
 
Unapodate na mwanaume akili kisoda hana exposure ni kipengele sana. Bora ulitema bungo mapema
Ni shida sana, nilikuwa naye mume wa ndoa wa hivyo, nikakimbia mapema. Ni mzigo sana, hata mchepuko wake alitema bungo baada ya mimi kuachana naye.
 
Ndo uwe pisi kali sasa, kama we mwenyewe ndio sura ya baba, shape hata haileweki hips zikowapi, tako na kiuno vimetengania wapi hapo utaishia kuonga. Huyo mwanaume aliejipata kuliko kudate na wewe bora akadate na izo izo pisi zenye njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…