MwanaMfalme Louis atimiza umri wa miaka 3, aanza Shule Rasmi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school.

The photograph was taken at Kensington Palace by the duchess, shortly before Louis set off for Willcocks Nursery School for the first time on Wednesday.

Smartly dressed in shorts, a shirt and a jumper, he sits on a red Frog bicycle with a rucksack on his back.

Prince William and Catherine were said to be "delighted" to share the update.

Huku kwetu mtoto mwenye umbo kama hilo angekuwa na umri wa miaka 6 au 7!! Mtoto wa miaka 3 anaendesha mpaka baiskeli!! Dah! Kweli Watoto wetu wamedumaa aisee!
 
Huku kwetu mtoto mwenye umbo kama hilo angekuwa na umri wa miaka 6 au 7!! Mtoto wa miaka 3 anaendesha mpaka baiskeli!! Dah! Kweli Watoto wetu wamedumaa aisee!
Usemacho ni sahihi, sijui tufanyaje kudhibiti hilo tatizo la udumavu wa mwili. Ingawa kwenye akili wanakuwa wako sawa au wakwetu wanaweza kuzidi💪
 
Tangu Magufuli afatiki naona umeanza tena kuwashobokea mabeberu
 
What is the use of this!!!?
 
Usemacho ni sahihi, sijui tufanyaje kudhibiti hilo tatizo la udumavu wa mwili. Ingawa kwenye akili wanakuwa wako sawa au wakwetu wanaweza kuzidi💪
Ndio hivyo,lishe nayo inachangia,ila tukikuwa wenyewe tunajirekebisha na vi chips mayai,vinasaidia mpaka tunarudi kwenye mstari...
 
Nipo My pisi kali baby!! Nimeona nitumie avatar yangu halisi my dear! Ile niliona kuna jamaa aliyefufuka kutoka kusiko julikana technically, na yeye anaitumia.

Hivyo nikaona italeta mkanganyiko!! Pole kwa usumbufu.
Why atumie avatar ya babe wangu jamani, maavatar yalivojazana hivo why why Technically 🤪 ila hata hii ni nzuri ntaizoea tu babe. Umesema ni halisi? Yaani huyo ndiye babe Tate?
 
Usemacho ni sahihi, sijui tufanyaje kudhibiti hilo tatizo la udumavu wa mwili. Ingawa kwenye akili wanakuwa wako sawa au wakwetu wanaweza kuzidi[emoji123]
Bado wanakuwa wamedumaa akili pia ni wachache wanaokaa mazingira ya kuchangamka ndo wanachangamka
 
Why atumie avatar ya babe wangu jamani, maavatar yalivojazana hivo why why Technically 🤪 ila hata hii ni nzuri ntaizoea tu babe. Umesema ni halisi? Yaani huyo ndiye babe Tate?
Huyo ndiye Tate Mkuu mwenyewe baby!! 🥵 Inawezekana technically alikuwa akiitumia kwa muda mrefu kabla yangu! Sema tu aliadimika humu jukwaani kwa muda fulani.

Picha zangu nyingine nikiwa kilabuni nikinywa mnazi na boha, shambani nikilima ngogwe, nk. Nitakutumia PM Baby! Just wait for me, ok!!!
 
Sawa babe hizo picha za kilabuni ndiyo zenyewe hizo nikuone ukilewa unakuaje😀😀
 
Huku kwetu watoto kibao tu umri huo wameanza shule na hujawaandikia uzi, siyo vizuri hizo double standards, au kwa sababu ni prince nini, hata wanetu ni maprince and princess kwenye familia zetu[emoji57][emoji57]
Acha uongo ww sidhani hata mwanao kwa umri uo anaweza hata kutembea vizur lazima ana mwendo wa kilevi miaka3 bongo mtoto mdg sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…