Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Si kweli alikuwa ni mcheza tamthiliya, hivyo ana kiasi fulani kwenye bank accounts.

Kumbuka huyu familia yake haikuwa hohehahe, angalau ilikuwa ikijiweza.

Baba yake Meghan alikuwa ni mkurugenzi wa kutengeneza filamu.
Hujaijua zaidi tamaa ya mwanadamu
Kwa kila ngazi ya maisha uliyonayo jua kwamba bado wapo waliojuu yako kwahiyo u gold digger hauwezi kuepukwa kama wawili hao ngazi zao kimaisha bado ni tofauti
 
Naona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamapatikana haswaa! [emoji3]

Sababu kubwa ni kwamba Harry anafanya shughuli za marehemu mama yake zile za utunzaji mazingira na kusaidia mifuko ya kulea watu waso na uwezo khasa katika nchi za Afrika.

Meghan nae ameonyesha nia ya kushirikiana na Harry kuendeleza kampeni hiyo.

Vekesheni nyingi anazofanya Meghan huwa ni Afrika na Harry anapenda sana kuja Afrika ukizingatia yeye ni mlezi wa mifuko ya misaada kule Lesotho.

Kuna hoteli kambi moja kali sana pale Botswana yaitwa Meno a Kwena, ambayo usiku mmoja inagharimu kama dola 867 hivi au fedha za madafu kama 1.9m hivi.
 
Hujaijua zaidi tamaa ya mwanadamu
Kwa kila ngazi ya maisha uliyonayo jua kwamba bado wapo waliojuu yako kwahiyo u gold digger hauwezi kuepukwa kama wawili hao ngazi zao kimaisha bado ni tofauti

My friend, I know.

Leo nilipomwangalia huyu mwanamke nimeona ni mwanamke anaejiamini, yupo na confidence halafu ni yeye ndiye anaeongoza show yaani amezoea media.

Harry hapendi media na anaamini paparazzi ndio walomuua mama yake kwa kupenda kufuatilia.

Kamkamata Harry mikono na anamwongoza kila hatua.

All in all time is too short hivyo Harry amesema "it was love at first sight".

Tuwatakie ndoa njema.
 
Sababu kubwa ni kwamba Haary anafanya shughuli za marehemu mama yake zile za utunzaji mazingira na kusaidia mifuko ya kulea watu waso na uwezo khasa katika nchi za Afrika.

Vekesheni nyingi anazofanya Meghan huwa ni Afrika na Harry anapenda sana kuja Afrika ukizingatia yeye ni mlezi wa mifuko ya misaada kule Lesotho.

Kuna hoteli kambi moja kali sana pale Botswana yaitwa Meno a Kwena, ambayo usiku mmoja inagharimu kama dola 867 hivi au fedha za madafu kama 1.9m hivi.

Ndio walipokutana right?
Ndo kukapelekea rumors kuwa Meghan ilidhaniwa ni Mwafrica..

Halafu naona Queen ame pass hii bila shida. Tena kama vile kapiga dongo kwa waliotaka kuifanya hii kitu issue baada ya some media za Uingereza kuanza ku question Nationality na Status ya Meghan..

.. “the Queen says she is ‘delighted’ the divorced American actress is to join the royal family.”
 
Hapana wamekutana kupitia mutual friend ambae ndiye aliefanya set up yote.

Harry only went for the kill.
 
Sio wazungu tu; hata mimi wa Mchambawima sijaipenda kabisa ndio maana nikauliza amekosa kabisa demu "bora" wa Kiingereza hadi akaokote masanii ya kimarekani tena machotara?
Unaposema "tena machotara" unamaanisha una chuki sana na sisi watu weusi? Kama kweli wewe ni wa Mchambawima nahisi utakuwa mwarabu fulani.
Mkuu haya mambo ya ndoa au mahusiano hayahitaji hasira, kila mtu na chaguo lake usilazimishe wote wawe wabaguzi.
Mwanamfalme ni binadamu kama wengine, hata mfalme Selemani myahudi alivuta malkia mrembo mweusi karne nyingi kabla ya babu wa mababu wa mababu wa babu yake babu wa Harry hajazaliwa.
 
Sio wazungu tu; hata mimi wa Mchambawima sijaipenda kabisa ndio maana nikauliza amekosa kabisa demu "bora" wa Kiingereza hadi akaokote masanii ya kimarekani tena machotara?
Kwa hivyo mwana mfalme ni vibaya kuoa machotara meusi?
Ukishangaa ya mwana mfalme Harry kuoa chotara wa kizungu na mtu mweusi utayaona ya Mfalme Sulemani kuoa Malkia wa Sheba mwanamke mweusi kamili sio chotara.

Notice: Suleman alikuwa mfalme kamilisi mwana mfalme.
 
Wazungu koko wanafiki sana.

Wanataka huko Africa wafanyane kwa style ya Obama na David Cameron ila watoto wao wanawaozesha Adam na Hawa!!

Wazungu koko ni very pathetic creatures.
Mkuu hujui hata yule mzee wao alionekana analiwa mate na kijana mdogo? Hiyo laana ya Ki-David Cameron imeanza ndani ya kasri la Ufalme wao.
charles_060116014702.jpg
 
Mkuu hujui hata yule mzee wao alionekana analiwa mate na kijana mdogo? Hiyo laana ya Ki-David Cameron imeanza ndani ya kasri la Ufalme wao.
charles_060116014702.jpg
Mzee analiwa mate kama mchumba tu hapo tusiseme ya sirini huenda anatatuliwa linda mubashara.
sasa unategemea mawaziri wengi wa England watapinga ushoga hadharani?
CC: Poise
 
Majesty ni mnafiki wala hajafurahi kuona mjukuu Harry anamuoa huyo black afuu commoner basi tuu afanyeje kaishajizeekea na ana skendo ya kumuua Diana....huyo Meghan kama mbele mbele hajapewa sumu sijui!

Harry na Meghan ni perfect fit.

Yaani Harry anaamini kuwa na Meghan ame-turn his life around kutoka kuwa kipanga hadi kutulia na mwanamke mmoja.

Harry ni party boy, mpenda totos na hapigwi chenga na fedha ndogondogo halafu anafahamu kwamba yeye ni mtu wa tano kuja kuwa mfalme wa Uingereza hivyo ni yule mtu twaita macho-man.

Hivyo amemua kutulia na huyu binti na kieleweke.

Halafu Meghan na Kate inaonekana watakuwa wanaelewana sana.

Hao wifi zake wengine hasa Beatrice itabidi waamue moja kuunga mkono au kutupa mkono ndoa ha kaka yao.
 
Mkuu hujui hata yule mzee wao alionekana analiwa mate na kijana mdogo? Hiyo laana ya Ki-David Cameron imeanza ndani ya kasri la Ufalme wao.
charles_060116014702.jpg
Aaaaaahhh,

Ndiyo. kumbe wanaendelea pande zote namba 0713 na kawaida Duuuh .
Shetani amehamia kwao.
 
Majesty ni mnafiki wala hajafurahi kuona mjukuu Harry anamuoa huyo black afuu commoner basi tuu afanyeje kaishajizeekea na ana skendo ya kumuua Diana....huyo Meghan kama mbele mbele hajapewa sumu sijui!

Uwii Witness jamani dada wa watu yasijemkuta yaliyomkuta Diana..

I couldn't wait kusikia reaction ya Queen kwa hili la kuingiza damu nyeusi kwao, lakini kaonekana ku support tena kwa kurusha dongo kwenye media?!
 
Back
Top Bottom