witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Harry anapenda bata mnoo, na kupiga chini mademu kama hana akili nzuri vile! Kweli Meghan ana zali la mentaliSio hilo mi kilichonikosha zaid ni kwamba bibi harusi alishaolewa na kuachika. Mi hapoooo tuuu. Sijui atakua na watoto!!! Na Harry anahitaji strong woman Wa kuweza kumcontrol maaan ni mzeee Wa bata mnooo. Anaitendea haki 3Ws. War, wine and women, only strong and Mature woman can Handle him.
Ila mkuu kama namuona Meghan haamini kilichotokea ( to be engaged) yaan full kujistukia halafu ni anaonekana anamuogopa mnoo Harry!