Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Bongo joketi tu kajificha hadi saiv, wazungu wana mioyo ya kipekee
Ila Alikiba alimfanyia mwenzie vibaya khaa hata kama mtu humpendi!

Yaan Jojoo alikuwa anakanwa kuanzia mama kibakuli, kiba, wifi, familia nzima haikupendi we unajibebisha tuu daaaah!
 
Hov katulia now, mwanzo Bey aliipata fresh

Hakuna ndoa ya fasta ( alimuoa baada ya miaka 9, alitaka akimbie mwenyewe) na mademu wengine anachukua kama kawa!

Ila B mvumilivu sijapata ona!
Jigga ni mhuni nakumbuka alishapigwa km sikosei na solange vilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…