Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Royal family hazipendagi drama drama ndo maana diana yalimshinda maisha hayo.
Hata wagen waalikwa wengi sio wapenda drama kama kardashian
Hata wagen waalikwa wengi sio wapenda drama kama kardashian
Hii harusi ingekuwa marekani watu wangelipuka balaa. Hata sioni fashion ya kutisha mpaka sasa kwa kweli. I’m so busy kuangalia mavazi ila hola