Yaaan wageni walioalikwa ni most popular na wana influence duniani... Sio kujiokotea wacheza porn khaaa!Hawatakagi ujinga wale hawanaga shobo
Ahahahahahah wityYaaan wageni walioalikwa ni most popular na wana influence duniani... Sio kujiokotea wacheza porn khaaa!
Sio hawapendi ni kuidhalilisha kasriHawapendi eee
Jamani Kim hajaalikwa atakuwa kajisikia vibayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavyojionaga keki
Watakuwa wameshauriwa!Wasiachane bwana daahh!
Naangalia hapa home..CNN wamejitahidi Leo!
Mhubiri fireeee
Thubutuuuu!....William ni kicheche hatari ngoja nikitulia ntakurushia mademu zake uchoke!Yule chelsy .Harry alikuwa bad boy ila baadae alibadilika.ila kakaake hakuwa na skendo za wanawake kabisa .Yule aliemuoa mapenzi yao yalidumu miaka mingi tangu chuo
Yani naona fashion ya makofia tu na nywele kama vile ndo wametoka kuamka.
Nenda google search uone Charles kasimamia harusi ngapi then utanambia!Lakini Witness!, eti ma reject wote...LOL!
Umenichekesha! 😀
Mmmh Aminah anakwambia walikutana kwenye ndege ( naona ishakuwa fashion sasa)
Hii ndo ya leoHapana itakuwa kachanganya tuu
Humble African yuko vizuri mnoo
Yap!, true.Yahh her past,exposure and all...mi naona they will last..na Harry anaona kapata smthn different...i see ts a perfect rare match
Jus simple make up...katoka chicha balaaJamani hivi Meghan kaweka make-up kweli?!!
She look super Classy!!!!