Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

IMG_20180519_143400.jpg
IMG_20180519_143408.jpg
IMG_20180519_143415.jpg
IMG_20180519_143423.jpg
IMG_20180519_143432.jpg
IMG_20180519_143439.jpg
IMG_20180519_143445.jpg
 
Yule chelsy .Harry alikuwa bad boy ila baadae alibadilika.ila kakaake hakuwa na skendo za wanawake kabisa .Yule aliemuoa mapenzi yao yalidumu miaka mingi tangu chuo
Thubutuuuu!....William ni kicheche hatari ngoja nikitulia ntakurushia mademu zake uchoke!

Tena Will anakula papuchi Harry chekekechea kabisa,

Huyo Kate mwenyewe alikuwa amebwagwaa her majesty akamrudisha!

Huyo William kumuoa Kate sio kwa mapenzi yake, ana demu wake anaitwa Jecca anaishi Kenya ndo mpango mzima!

Na hadi sasa hivi anakujaga kisirisiri wanamegana, juzi Kate kashtukia mchezo na kamaindi balaa...
 
Back
Top Bottom