Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Jamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoni
 
intelligence people " huwa hawaonyeshi chuki zao hadharani mkuu"" wanaweza hata kuku kumbatia na kuchangia na wewe Chakula "" kumbe wanapanga kukutoa roho
Tena wanajua kuigiza haswaaa
 
Huyu Charles sijui ni yeye au jamaa anaefanana nae niliona movie ya wasouth aliigiza kwa jina hilo hilo itakua inaitwa yankie zulu. Yupo cul tu keshachoka kusubiria ufalme miaka yote mpaka uzeen
Hata mi nataka wamruke, hiyo inamuuma sana Camilla ila kwa Charles hana hata habaree na hata hatakii!
 
Aaaaaahhh,

Ndiyo. kumbe wanaendelea pande zote namba 0713 na kawaida Duuuh .
Shetani amehamia kwao.
hao hauwezi kuwa tenganisha na Rothschild ...na hiyo ni moja ya Sera zao "" tatizo ulimwengu haujui jinsi " haya mataifa yenye nguvu yanavyofanya kazi "" katika Sera zao"" waweza kukuta Jamaa sio "gay" lakini kwakuwa anaushswishi duniani ametumika kwaajili ya kampeni za kuifanya dunia Ione kuwa maswala ya ushoga ni issue za kawaida
 
Tena wanajua kuigiza haswaaa
hatari sana hao watu " waweza kukuta hata marhemu D ...walikuwa wanapiga nae soga vizuri tu " na kumwambia kuwa wana msupport " katika mahusiano yake mapya...kumbe wanajipnga kumtoa kafara"" daaahh yule Dada nilikuwaga nampenda mnoo aisee..."" dahh
 
Bora tubakie bongo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan watu wamelia na kuhuzunika 96 wamesahau wewe unalia leo
Jamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…